iqna

IQNA

Nabii Saleh
Shakhsia katika Qur'ani / 11
TEHRAN (IQNA) – Nabii Saleh , Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake –AS- alichaguliwa na Mwenyezi Mungu kuwa Mtume alipokuwa na umri wa miaka 16 na kwa miaka 120, alijaribu kuwaalika watu kwenye njia iliyonyooka lakini ni watu wachache waliokubali mwaliko wake na waliokolewa na adhabu ya Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3475935    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/15